Mathayo 13:26 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC26 Baadaye majani ya ngano yalipomea na kuzaa, yakaonekana na magugu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 Basi, mimea ilipoota na kuanza kuchanua, magugu pia yakaanza kuonekana. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 Basi, mimea ilipoota na kuanza kuchanua, magugu pia yakaanza kuonekana. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 Basi, mimea ilipoota na kuanza kuchanua, magugu pia yakaanza kuonekana. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 Ngano ilipoota na kutoa masuke, magugu nayo yakatokea. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 Ngano ilipoota na kutoa masuke, magugu nayo yakatokea. Tazama sura |