Mathayo 13:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Wakaja wanafunzi, wakamwambia, Kwa nini wasema nao kwa mifano? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Wanafunzi wake wakamwendea, wakamwuliza, “Kwa nini unasema na watu kwa mifano?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Wanafunzi wake wakamwendea, wakamwuliza, “Kwa nini unasema na watu kwa mifano?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Wanafunzi wake wakamwendea, wakamwuliza, “Kwa nini unasema na watu kwa mifano?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Wanafunzi wake wakamwendea, wakamuuliza, “Kwa nini unasema na watu kwa mifano?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Wanafunzi wake wakamwendea, wakamuuliza, “Kwa nini unasema na watu kwa mifano?” Tazama sura |