Mathayo 10:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Bali shikeni njia kuwaendea kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Ila nendeni kwa watu wa Israeli waliopotea kama kondoo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Ila nendeni kwa watu wa Israeli waliopotea kama kondoo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Ila nendeni kwa watu wa Israeli waliopotea kama kondoo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Lakini afadhali mshike njia kuwaendea kondoo wa nyumba ya Israeli waliopotea. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Lakini afadhali mshike njia kuwaendea kondoo wa nyumba ya Israeli waliopotea. Tazama sura |