Mathayo 10:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC24 Mwanafunzi hampiti mwalimu wake, wala mtumwa hampiti bwana wake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 “Mwanafunzi hampiti mwalimu wake, wala mtumishi hampiti bwana wake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 “Mwanafunzi hampiti mwalimu wake, wala mtumishi hampiti bwana wake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 “Mwanafunzi hampiti mwalimu wake, wala mtumishi hampiti bwana wake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 “Mwanafunzi hawezi kumzidi mwalimu wake, wala mtumishi hamzidi bwana wake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 “Mwanafunzi hawezi kumzidi mwalimu wake, wala mtumishi hamzidi bwana wake. Tazama sura |