Mathayo 1:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC24 Naye Yusufu alipoamka katika usingizi, alifanya kama malaika wa Bwana alivyomwagiza; akamchukua mkewe; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 Hivyo, Yosefu alipoamka usingizini alifanya kama malaika huyo alivyomwambia, akamchukua mke wake nyumbani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 Hivyo, Yosefu alipoamka usingizini alifanya kama malaika huyo alivyomwambia, akamchukua mke wake nyumbani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 Hivyo, Yosefu alipoamka usingizini alifanya kama malaika huyo alivyomwambia, akamchukua mke wake nyumbani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 Yusufu alipoamka kutoka usingizini, akafanya jinsi alivyoagizwa na malaika wa Mwenyezi Mungu, akamchukua Mariamu kuwa mke wake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 Yusufu alipoamka kutoka usingizini, akafanya kama vile alivyoagizwa na malaika wa Mwenyezi Mungu, akamchukua Mariamu kuwa mke wake. Tazama sura |