Mathayo 1:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC19 Naye Yusufu, mumewe, kwa vile alivyokuwa mtu wa haki, asitake kumwaibisha, aliazimu kumwacha kwa siri. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Yosefu, mumewe, kwa vile alikuwa mwadilifu, hakutaka kumwaibisha hadharani; hivyo alikusudia kumwacha kwa siri. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Yosefu, mumewe, kwa vile alikuwa mwadilifu, hakutaka kumwaibisha hadharani; hivyo alikusudia kumwacha kwa siri. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Yosefu, mumewe, kwa vile alikuwa mwadilifu, hakutaka kumwaibisha hadharani; hivyo alikusudia kumwacha kwa siri. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Kwa kuwa Yusufu, mwanaume aliyekuwa amemposa alikuwa mtu mwadilifu, hakutaka kumwaibisha Mariamu hadharani, hivyo basi alikusudia kumwacha kwa siri. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Kwa kuwa Yusufu, mwanaume aliyekuwa amemposa, alikuwa mtu mwadilifu, hakutaka kumwaibisha Mariamu hadharani, bali aliazimu kumwacha kwa siri. Tazama sura |