Mathayo 1:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Yakobo akamzaa Yusufu mumewe Mariamu aliyemzaa YESU aitwaye Kristo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Yakobo alimzaa Yosefu, mumewe Maria mama yake Yesu aitwaye Kristo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Yakobo alimzaa Yosefu, mumewe Maria mama yake Yesu aitwaye Kristo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Yakobo alimzaa Yosefu, mumewe Maria mama yake Yesu aitwaye Kristo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 naye Yakobo akamzaa Yusufu, aliyekuwa mumewe Mariamu, mama yake Isa, aitwaye Al-Masihi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 naye Yakobo akamzaa Yusufu ambaye alikuwa mumewe Mariamu, mama yake Isa, aitwaye Al-Masihi. Tazama sura |