Matendo 9:42 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC42 Ikajulikana katika mji mzima wa Yafa; watu wengi wakamwamini Bwana. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema42 Habari za tukio hili zilienea kila mahali huko Yopa, na watu wengi wakamwamini Bwana. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND42 Habari za tukio hili zilienea kila mahali huko Yopa, na watu wengi wakamwamini Bwana. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza42 Habari za tukio hili zilienea kila mahali huko Yopa, na watu wengi wakamwamini Bwana. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu42 Habari hizi zikajulikana sehemu zote za Yafa na watu wengi wakamwamini Bwana Isa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu42 Habari hizi zikajulikana sehemu zote za Yafa na watu wengi wakamwamini Bwana Isa. Tazama sura |