Matendo 9:41 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC41 Akampa mkono, akamwinua; hata kisha akawaita wale watakatifu na wajane akamweka mbele yao, akiwa hai. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema41 Petro akamsaidia kusimama, halafu akawaita wale watu wa Mungu na wale wajane, akamkabidhi kwao akiwa mzima. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND41 Petro akamsaidia kusimama, halafu akawaita wale watu wa Mungu na wale wajane, akamkabidhi kwao akiwa mzima. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza41 Petro akamsaidia kusimama, halafu akawaita wale watu wa Mungu na wale wajane, akamkabidhi kwao akiwa mzima. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu41 Petro akamshika mkono akamwinua, ndipo akawaita wale watakatifu na wajane akamkabidhi kwao akiwa hai. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu41 Petro akamshika mkono akamwinua, ndipo akawaita wale watakatifu na wajane akamkabidhi kwao akiwa hai. Tazama sura |