Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 9:37 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

37 Ikawa siku zile akaugua, akafa; wakati walipokwisha kumwosha, wakamweka ghorofani.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

37 Wakati huo ikawa kwamba aliugua, akafa. Watu wakauosha mwili wake, wakaulaza katika chumba ghorofani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

37 Wakati huo ikawa kwamba aliugua, akafa. Watu wakauosha mwili wake, wakaulaza katika chumba ghorofani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

37 Wakati huo ikawa kwamba aliugua, akafa. Watu wakauosha mwili wake, wakaulaza katika chumba ghorofani.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

37 Wakati huo akaugua, akafa, na wakauosha mwili wake wakauweka katika chumba cha ghorofani.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

37 Wakati huo akaugua, akafa na wakiisha kuuosha mwili wake wakauweka katika chumba cha ghorofani.

Tazama sura Nakili




Matendo 9:37
6 Marejeleo ya Msalaba  

Naye mwenyewe atawaonesha ghorofa kubwa, iliyotayarishwa; humo tuandalieni.


Wakati walipoingia, wakapanda ghorofani, walipokuwa wakikaa; Petro, na Yohana, na Yakobo, na Andrea, Filipo na Tomaso, Bartholomayo na Mathayo, Yakobo wa Alfayo, na Simoni Zelote, na Yuda wa Yakobo.


Palikuwa na taa nyingi katika ghorofa lile tulipokuwa tumekusanyika.


Petro akaondoka akafuatana nao. Alipofika, wakampeleka juu ghorofani wajane wote wakasimama karibu naye, wakilia na kumwonesha zile kanzu na nguo alizozishona Dorkasi wakati ule alipokuwa pamoja nao.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo