Matendo 9:34 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC34 Petro akamwambia, Ainea, Yesu Kristo akuponya; inuka, ujitandikie. Mara akainuka. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema34 Basi, Petro akamwambia, “Ainea, Yesu Kristo anakuponya. Amka utandike kitanda chako.” Ainea akaamka mara. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND34 Basi, Petro akamwambia, “Ainea, Yesu Kristo anakuponya. Amka utandike kitanda chako.” Ainea akaamka mara. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza34 Basi, Petro akamwambia, “Ainea, Yesu Kristo anakuponya. Amka utandike kitanda chako.” Ainea akaamka mara. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu34 Petro akamwambia, “Ainea, Isa Al-Masihi anakuponya, inuka utandike kitanda chako.” Mara Ainea akainuka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu34 Petro akamwambia, “Ainea, Isa Al-Masihi anakuponya, inuka utandike kitanda chako.” Mara Ainea akainuka. Tazama sura |