Matendo 9:32 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC32 Wakati Petro alipokuwa akizungukazunguka pande zote akawateremkia na watakatifu waliokaa Lida. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema32 Petro alipokuwa anasafirisafiri kila mahali alifika pia kwa watu wa Mungu waliokuwa wanaishi Luda. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND32 Petro alipokuwa anasafirisafiri kila mahali alifika pia kwa watu wa Mungu waliokuwa wanaishi Luda. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza32 Petro alipokuwa anasafirisafiri kila mahali alifika pia kwa watu wa Mungu waliokuwa wanaishi Luda. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu32 Petro alipokuwa akisafiri sehemu mbalimbali, alienda kuwatembelea watakatifu walioishi huko Lida. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu32 Petro alipokuwa akisafiri sehemu mbalimbali, alikwenda kuwatembelea watakatifu walioishi huko Lida. Tazama sura |