Matendo 9:30 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC30 Lakini ndugu walipopata habari wakamchukua mpaka Kaisaria, wakamtuma aende Tarso. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema30 Wale ndugu walipogundua jambo hilo, walimchukua Saulo, wakampeleka Kaisarea, wakamwacha aende zake Tarso. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND30 Wale ndugu walipogundua jambo hilo, walimchukua Saulo, wakampeleka Kaisarea, wakamwacha aende zake Tarso. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza30 Wale ndugu walipogundua jambo hilo, walimchukua Saulo, wakampeleka Kaisarea, wakamwacha aende zake Tarso. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu30 Wale ndugu walipopata habari wakampeleka hadi Kaisaria, wakamsafirisha kwenda Tarso. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu30 Wale ndugu walipopata habari wakampeleka hadi Kaisaria, wakamsafirisha kwenda Tarso. Tazama sura |