Matendo 8:40 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC40 Lakini Filipo akaonekana katika Azota, na alipokuwa akipita akahubiri Injili katika miji yote, hadi akafika Kaisaria. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema40 Filipo akajikuta yuko Azoto, akapita katika miji yote akihubiri Injili mpaka alipofika Kaisarea. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND40 Filipo akajikuta yuko Azoto, akapita katika miji yote akihubiri Injili mpaka alipofika Kaisarea. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza40 Filipo akajikuta yuko Azoto, akapita katika miji yote akihubiri Injili mpaka alipofika Kaisarea. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu40 Filipo akajikuta Azoto; akasafiri akihubiri Injili katika miji yote hadi akafika Kaisaria. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu40 Filipo akajikuta yuko Azoto, akasafiri akihubiri Injili katika miji yote mpaka alipofika Kaisaria. Tazama sura |