Matendo 8:29 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC29 Roho akamwambia Filipo, Sogea karibu na gari hili, ukaribiane nalo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema29 Basi, Roho Mtakatifu akamwambia Filipo, “Nenda karibu na gari hilo ukafuatane nalo.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND29 Basi, Roho Mtakatifu akamwambia Filipo, “Nenda karibu na gari hilo ukafuatane nalo.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza29 Basi, Roho Mtakatifu akamwambia Filipo, “Nenda karibu na gari hilo ukafuatane nalo.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu29 Roho wa Mungu akamwambia Filipo, “Nenda kwenye lile gari ukae karibu nalo.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu29 Roho wa Mwenyezi Mungu akamwambia Filipo, “Nenda kwenye lile gari ukae karibu nalo.” Tazama sura |