Matendo 8:28 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC28 akawa akirudi nyumbani, akiwa ameketi garini mwake akisoma kitabu cha nabii Isaya. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema28 Alipokuwa anasafiri, alikuwa akijisomea kitabu cha nabii Isaya. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND28 Alipokuwa anasafiri, alikuwa akijisomea kitabu cha nabii Isaya. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza28 Alipokuwa anasafiri, alikuwa akijisomea kitabu cha nabii Isaya. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu28 naye akiwa njiani kurudi nyumbani alikuwa ameketi kwenye gari lake la vita akisoma kitabu cha nabii Isaya. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu28 naye akiwa njiani kurudi nyumbani alikuwa ameketi garini mwake akisoma kitabu cha nabii Isaya. Tazama sura |