Matendo 8:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC23 Kwa maana nakuona uko katika uchungu kama nyongo, na tena uko katika kifungo cha uovu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Ni dhahiri kwangu kwamba umejaa wivu mkali na u mfungwa wa dhambi!” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Ni dhahiri kwangu kwamba umejaa wivu mkali na u mfungwa wa dhambi!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Ni dhahiri kwangu kwamba umejaa wivu mkali na u mfungwa wa dhambi!” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 Kwa maana ninaona kwamba wewe umejawa na uchungu na ni mfungwa wa dhambi.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 Kwa maana ninaona kwamba wewe umejawa na uchungu na ni mfungwa wa dhambi.” Tazama sura |