Matendo 7:54 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC54 Basi waliposikia maneno haya, wakachomwa mioyo, wakamsagia meno. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema54 Wale wazee wa Baraza waliposikia hayo, walighadhibika sana, wakamsagia meno kwa hasira. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND54 Wale wazee wa Baraza waliposikia hayo, walighadhibika sana, wakamsagia meno kwa hasira. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza54 Wale wazee wa Baraza waliposikia hayo, walighadhibika sana, wakamsagia meno kwa hasira. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu54 Wazee wa Baraza la Wayahudi waliposikia haya wakaghadhibika, wakamsagia meno. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu54 Waliposikia haya wakaghadhibika, wakamsagia meno. Tazama sura |