Matendo 7:39 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC39 Mtu huyo baba zetu hawakutaka kumtii, bali wakamsukumia mbali, na kwa mioyo yao wakarejea Misri, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema39 “Lakini yeye ndiye babu zetu waliyekataa kumsikiliza; walimsukuma kando, wakatamani kurudi Misri. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND39 “Lakini yeye ndiye babu zetu waliyekataa kumsikiliza; walimsukuma kando, wakatamani kurudi Misri. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza39 “Lakini yeye ndiye babu zetu waliyekataa kumsikiliza; walimsukuma kando, wakatamani kurudi Misri. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu39 “Lakini baba zetu walikataa kumtii Musa, badala yake wakamkataa na kuielekeza mioyo yao Misri tena. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu39 “Lakini baba zetu walikataa kumtii Musa, badala yake wakamkataa na kuielekeza mioyo yao Misri tena. Tazama sura |