Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 7:33 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

33 Bwana akamwambia, Vua viatu miguuni mwako, kwa maana mahali hapa unaposimama ni nchi takatifu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

33 Bwana akamwambia: ‘Vua viatu vyako maana hapa unaposimama ni mahali patakatifu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

33 Bwana akamwambia: ‘Vua viatu vyako maana hapa unaposimama ni mahali patakatifu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

33 Bwana akamwambia: ‘Vua viatu vyako maana hapa unaposimama ni mahali patakatifu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

33 “Ndipo Mwenyezi Mungu akamwambia, ‘Vua viatu vyako kwa maana mahali unaposimama ni patakatifu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

33 “Ndipo Bwana Mwenyezi Mungu akamwambia, ‘Vua viatu vyako kwa maana mahali unaposimama ni patakatifu.

Tazama sura Nakili




Matendo 7:33
5 Marejeleo ya Msalaba  

Naye akasema, Usikaribie hapa; vua viatu vyako miguuni mwako; maana mahali hapo unaposimama ni mahali patakatifu.


Jitunze mguu wako uendapo nyumbani kwa Mungu; Maana ni heri kukaribia ili usikie, Kuliko kutoa kafara ya wapumbavu; Ambao hawajui kuwa wafanya mabaya.


Kweli mimi nawabatiza kwa maji kwa ajili ya toba; bali yeye ajaye nyuma yangu ana nguvu kuliko mimi, wala sistahili hata kuvichukua viatu vyake; yeye atawabatiza kwa Roho Mtakatifu na kwa moto.


Huyo kamanda wa jeshi la BWANA akamwambia Yoshua, Vua viatu vyako miguuni mwako; kwa kuwa mahali hapo usimamapo ni patakatifu. Yoshua akafanya hivyo.


Na sauti hiyo sisi tuliisikia ikitoka mbinguni tulipokuwa pamoja naye katika mlima ule mtakatifu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo