Matendo 7:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC21 Wakati alipotupwa, binti Farao akamtwaa, akamlea awe kama mwanawe. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 na alipotolewa nje, binti wa Farao alimchukua, akamlea kama mtoto wake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 na alipotolewa nje, binti wa Farao alimchukua, akamlea kama mtoto wake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 na alipotolewa nje, binti wa Farao alimchukua, akamlea kama mtoto wake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Walipomweka nje mtoni, binti Farao akamchukua akamlea kama mtoto wake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Waliposhindwa kumficha zaidi, wakamweka nje mtoni na binti Farao akamchukua akamtunza kama mtoto wake mwenyewe. Tazama sura |