Matendo 7:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC18 hata mfalme mwingine asiyemfahamu Yusufu akaanza kutawala katika Misri. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Mwishowe, mfalme mmoja ambaye hakumtambua Yosefu alianza kutawala huko Misri. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Mwishowe, mfalme mmoja ambaye hakumtambua Yosefu alianza kutawala huko Misri. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Mwishowe, mfalme mmoja ambaye hakumtambua Yosefu alianza kutawala huko Misri. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Ndipo ‘mfalme mwingine ambaye hakufahamu habari za Yusufu akatawala Misri’. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Ndipo mfalme mwingine ambaye hakujua lolote kuhusu Yusufu akatawala Misri. Tazama sura |