Matendo 4:37 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC37 alikuwa na shamba akaliuza, akaileta fedha, akaiweka miguuni pa mitume. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema37 Yeye pia alikuwa na shamba lake, akaliuza; akazichukua zile fedha, akawakabidhi mitume. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND37 Yeye pia alikuwa na shamba lake, akaliuza; akazichukua zile fedha, akawakabidhi mitume. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza37 Yeye pia alikuwa na shamba lake, akaliuza; akazichukua zile fedha, akawakabidhi mitume. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu37 aliuza shamba alilokuwa nalo, akaleta hizo fedha alizopata na kuziweka miguuni pa mitume. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu37 aliuza shamba alilokuwa nalo, akaleta hizo fedha alizopata na kuziweka miguuni pa mitume. Tazama sura |