Matendo 4:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 Wakawaamuru kutoka katika baraza, wakashauriana wao kwa wao, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Hivyo, waliwaamuru watoke nje ya baraza, nao wakabaki ndani wakizungumza kwa faragha. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Hivyo, waliwaamuru watoke nje ya baraza, nao wakabaki ndani wakizungumza kwa faragha. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Hivyo, waliwaamuru watoke nje ya baraza, nao wakabaki ndani wakizungumza kwa faragha. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Wakawaamuru watoke nje ya Baraza la Wayahudi, ili wasemezane jambo hilo wao wenyewe. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Wakawaamuru watoke nje ya Baraza la Wayahudi wakati wakisemezana jambo hilo wao kwa wao. Tazama sura |