Matendo 3:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC19 Tubuni basi, mrejee, ili dhambi zenu zifutwe, zipate kuja nyakati za kuburudishwa kwa kuwako kwake Bwana; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Basi, tubuni, mkamrudie Mungu ili yeye afute dhambi zenu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Basi, tubuni, mkamrudie Mungu ili yeye afute dhambi zenu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Basi, tubuni, mkamrudie Mungu ili yeye afute dhambi zenu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Tubuni basi mkamgeukie Mungu, dhambi zenu zifutwe, ili zipate kuja nyakati za kuburudishwa kutoka kwake Mwenyezi Mungu, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Tubuni basi mkamgeukie Mwenyezi Mungu, dhambi zenu zifutwe, ili zipate kuja nyakati za kuburudishwa kwa kuwepo kwake Mwenyezi Mungu, Tazama sura |