Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 28:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

25 Na walipokuwa hawapatani wao kwa wao, wakaenda zao, Paulo alipokwisha kusema neno hili moja, ya kwamba, Roho Mtakatifu alinena vema na baba zetu, kwa kinywa cha nabii Isaya,

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

25 Basi, kukawa na mtengano wa fikira kati yao. Walipokuwa wanakwenda zao, Paulo alisema jambo hili: “Kweli ni sawa yale Roho Mtakatifu aliyowaarifu wazee wenu kwa njia ya nabii Isaya

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

25 Basi, kukawa na mtengano wa fikira kati yao. Walipokuwa wanakwenda zao, Paulo alisema jambo hili: “Kweli ni sawa yale Roho Mtakatifu aliyowaarifu wazee wenu kwa njia ya nabii Isaya

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

25 Basi, kukawa na mtengano wa fikira kati yao. Walipokuwa wanakwenda zao, Paulo alisema jambo hili: “Kweli ni sawa yale Roho Mtakatifu aliyowaarifu wazee wenu kwa njia ya nabii Isaya

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

25 Hivyo hawakukubaliana, nao walipokuwa wanaondoka, Paulo akatoa kauli moja zaidi: “Roho wa Mungu alinena kweli na baba zenu aliposema mambo yale yaliyomhusu Bwana Isa kwa kinywa cha nabii Isaya kwamba:

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

25 Hivyo hawakukubaliana, nao walipokuwa wanaondoka, Paulo akatoa kauli moja zaidi: “Roho wa Mwenyezi Mungu alinena kweli na baba zenu aliposema mambo yale yaliyomhusu Bwana Isa kwa kinywa cha nabii Isaya kwamba:

Tazama sura Nakili

Matendo 28:25
8 Marejeleo ya Msalaba  

Enyi wanafiki, ni vema alivyotabiri Isaya kwa habari zenu, akisema,

Akawaambia, Isaya alitabiri vema juu yenu ninyi wanafiki, kama ilivyoandikwa, Watu hawa huniheshimu kwa midomo Ila mioyo yao iko mbali nami;

Wengine waliamini yale yaliyonenwa, wengine hawakuyaamini.

akisema, Nenda kwa watu hawa, ukawaambie, Kusikia, mtasikia wala hamtafahamu; Na kuona, mtaona wala hamtatambua;

Alipokwisha kusema hayo, Wayahudi wakaenda zao, wakiulizana mengi wao kwa wao.]

Roho akamwambia Filipo, Sogea karibu na gari hili, ukaribiane nalo.

Kwa hiyo, kama anenavyo Roho Mtakatifu, Leo, kama mkisikia sauti yake,

Maana unabii haukuletwa popote kwa mapenzi ya mwanadamu; bali wanadamu walinena yaliyotoka kwa Mungu, wakiongozwa na Roho Mtakatifu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo