Matendo 28:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC24 Wengine waliamini yale yaliyonenwa, wengine hawakuyaamini. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 Baadhi yao walikubali maneno yake, lakini wengine hawakuamini. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 Baadhi yao walikubali maneno yake, lakini wengine hawakuamini. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 Baadhi yao walikubali maneno yake, lakini wengine hawakuamini. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 Baadhi wakasadiki yale aliyosema, lakini wengine hawakuamini. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 Baadhi wakasadiki yale aliyosema, lakini wengine hawakuamini. Tazama sura |