Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 27:37 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

37 Na sisi tuliokuwa ndani ya merikebu tulikuwa watu mia mbili na sabini na sita.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

37 Jumla tulikuwa watu 276 katika meli.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

37 Jumla tulikuwa watu 276 katika meli.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

37 Jumla tulikuwa watu 276 katika meli.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

37 Ndani ya meli tulikuwa jumla ya watu mia mbili na sabini na sita (276).

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

37 Ndani ya meli tulikuwa jumla ya watu 276.

Tazama sura Nakili




Matendo 27:37
5 Marejeleo ya Msalaba  

Nao waliolipokea neno lake wakabatizwa; na siku ile wakaongezeka watu wapatao elfu tatu.


Walipokwisha kushiba wakaipunguza shehena ya merikebu, wakiitupa ngano baharini.


Yusufu akatuma watu akamwita Yakobo babaye na jamaa zake wote pia, watu sabini na watano.


Kila mtu na aitii mamlaka iliyo kuu; kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na ile iliyopo umeamriwa na Mungu.


watu wasiotii hapo zamani, wakati Mungu alipowavumilia kwa subira, siku za Nuhu, safina ilipokuwa ikitengenezwa; ambamo ndani yake wachache, yaani, watu wanane, waliokoka kwa maji.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo