Matendo 27:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Baada ya muda mchache ukavuma upepo wa nguvu wa namna ya tufani, uitwao Eurakilo, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Lakini haukupita muda, upepo mkali uitwao “Upepo wa Kaskazi” ulianza kuvuma kutoka kisiwani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Lakini haukupita muda, upepo mkali uitwao “Upepo wa Kaskazi” ulianza kuvuma kutoka kisiwani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Lakini haukupita muda, upepo mkali uitwao “Upepo wa Kaskazi” ulianza kuvuma kutoka kisiwani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Lakini baada ya muda mfupi, ikavuma tufani kubwa iitwayo Eurakilo kutoka kisiwa cha Krete. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Lakini baada ya muda mfupi ikavuma tufani kubwa iitwayo “Eurakilo” toka kisiwa cha Krete. Tazama sura |