Matendo 26:30 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC30 Mfalme na mtawala na Bernike na wale walioketi pamoja nao wakasimama; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema30 Hapo mfalme Agripa, mkuu wa mkoa, Bernike na wale wote waliokuwa pamoja nao, walisimama. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND30 Hapo mfalme Agripa, mkuu wa mkoa, Bernike na wale wote waliokuwa pamoja nao, walisimama. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza30 Hapo mfalme Agripa, mkuu wa mkoa, Bernike na wale wote waliokuwa pamoja nao, walisimama. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu30 Baada ya kusema hayo, mfalme akainuka pamoja na mtawala na Bernike na wale waliokuwa wameketi pamoja nao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu30 Baada ya kusema hayo, mfalme akainuka pamoja na mtawala na Bernike na wale waliokuwa wameketi pamoja nao. Tazama sura |