Matendo 25:27 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC27 Kwa maana naona ni neno lisilo maana kumpeleka mfungwa, bila kuonesha mashitaka yale aliyoshitakiwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema27 Kwa maana nadhani itakuwa kichekesho kumpeleka mfungwa bila kutaja wazi mashtaka yanayomkabili.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND27 Kwa maana nadhani itakuwa kichekesho kumpeleka mfungwa bila kutaja wazi mashtaka yanayomkabili.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza27 Kwa maana nadhani itakuwa kichekesho kumpeleka mfungwa bila kutaja wazi mashtaka yanayomkabili.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu27 Kwa kuwa naona hakuna sababu ya kumpeleka mfungwa bila kuainisha mashtaka dhidi yake.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu27 Kwa kuwa naona hakuna sababu ya kumpeleka mfungwa bila kuainisha mashtaka dhidi yake.” Tazama sura |