Matendo 25:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC18 Na wale waliomshitaki waliposimama hawakuleta neno lolote baya, kama nilivyodhani, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Washtaki wake walisimama lakini hawakutoa mashtaka maovu kama nilivyokuwa ninatazamia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Washtaki wake walisimama lakini hawakutoa mashtaka maovu kama nilivyokuwa ninatazamia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Washtaki wake walisimama lakini hawakutoa mashtaka maovu kama nilivyokuwa ninatazamia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Washtaki wake walipoinuka kuzungumza, hawakumshtaki kwa uhalifu wowote kama nilivyotarajia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Washtaki wake waliposimama, hawakushtaki kwa uhalifu wowote niliokuwa ninatarajia. Tazama sura |