Matendo 25:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 Basi walipokutanika hapa sikukawia; bali siku ya pili nikaketi katika kiti cha hukumu nikaamuru mtu huyo aletwe. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Basi, walipofika hapa sikukawia, ila nilifanya kikao mahakamani kesho yake, nikaamuru mtu huyo aletwe. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Basi, walipofika hapa sikukawia, ila nilifanya kikao mahakamani kesho yake, nikaamuru mtu huyo aletwe. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Basi, walipofika hapa sikukawia, ila nilifanya kikao mahakamani kesho yake, nikaamuru mtu huyo aletwe. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Hivyo walipokutana hapa, sikukawia, kesho yake niliitisha baraza, nikaketi kwenye kiti changu cha hukumu, nikaagiza huyo mtu aletwe. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Hivyo walipokutana hapa, sikukawia, kesho yake niliitisha baraza, nikaketi penye kiti changu cha hukumu, nikaagiza huyo mtu aletwe. Tazama sura |