Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Matendo 25:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

14 Na walipokaa huko siku kadhaa, Festo akamweleza mfalme habari za Paulo, akisema, Yupo hapa mtu mmoja aliyeachwa na Feliki kifungoni;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 Walikuwa huko siku kadhaa naye Festo akamweleza mfalme kesi ya Paulo: “Kuna mtu mmoja hapa ambaye Felisi alimwacha kizuizini.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 Walikuwa huko siku kadhaa naye Festo akamweleza mfalme kesi ya Paulo: “Kuna mtu mmoja hapa ambaye Felisi alimwacha kizuizini.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 Walikuwa huko siku kadhaa naye Festo akamweleza mfalme kesi ya Paulo: “Kuna mtu mmoja hapa ambaye Felisi alimwacha kizuizini.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 Kwa kuwa walikuwa wakae huko Kaisaria kwa siku nyingi, Festo alijadili kesi ya Paulo na mfalme, akisema, “Kuna mtu mmoja hapa ambaye Feliksi alimwacha gerezani.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 Kwa kuwa walikuwa wakae huko Kaisaria kwa siku nyingi, Festo alijadili shauri la Paulo na mfalme, akisema, “Kuna mtu mmoja hapa ambaye Feliksi alimwacha gerezani.

Tazama sura Nakili

Matendo 25:14
3 Marejeleo ya Msalaba  

Akawaambia kuweka wanyama tayari wampandishe Paulo, na kumchukua salama kwa Feliki mtawala.

Na wale walipofika Kaisaria, na kumpa mtawala ile barua, wakamweka Paulo mbele yake.

Na miaka miwili ilipotimia, Feliki akampokea Porkio Festo atawale badala yake. Na Feliki, akitaka kuwafanyia Wayahudi fadhili, akamwacha Paulo akiwa amefungwa.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo