Matendo 24:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Wayahudi nao wakamshitaki, wakisema ya kuwa ndivyo yalivyo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Nao Wayahudi waliunga mkono mashtaka hayo wakisema kwamba hayo yote yalikuwa kweli. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Nao Wayahudi waliunga mkono mashtaka hayo wakisema kwamba hayo yote yalikuwa kweli. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Nao Wayahudi waliunga mkono mashtaka hayo wakisema kwamba hayo yote yalikuwa kweli. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Pia wale Wayahudi wakaunga mkono wakithibitisha kuwa mashtaka haya yote ni kweli. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Pia wale Wayahudi wakaunga mkono wakithibitisha kuwa mashtaka yote haya ni kweli. Tazama sura |