Matendo 24:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC19 ambao imewapasa hao kuwapo hapa mbele yako na kunishitaki, kama wana neno lolote juu yangu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Lakini kulikuwa na Wayahudi wengine kutoka mkoa wa Asia; hao ndio wangepaswa kuwa hapa mbele yako na kutoa mashtaka yao kama wana chochote cha kusema dhidi yangu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Lakini kulikuwa na Wayahudi wengine kutoka mkoa wa Asia; hao ndio wangepaswa kuwa hapa mbele yako na kutoa mashtaka yao kama wana chochote cha kusema dhidi yangu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Lakini kulikuwa na Wayahudi wengine kutoka mkoa wa Asia; hao ndio wangepaswa kuwa hapa mbele yako na kutoa mashtaka yao kama wana chochote cha kusema dhidi yangu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Lakini kuna Wayahudi fulani kutoka jimbo la Asia ambao walipaswa kuwa hapa mbele yako na kunishtaki kama wana jambo lolote dhidi yangu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Lakini kulikuwa na baadhi ya Wayahudi kutoka Asia, ambao wangelazimika wawepo hapa mbele yako ili watoe mashtaka kama wanalo jambo lolote dhidi yangu. Tazama sura |