Matendo 23:33 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC33 Na wale walipofika Kaisaria, na kumpa mtawala ile barua, wakamweka Paulo mbele yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema33 Walipofika Kaisarea walimpa mkuu wa mkoa ile barua na kumweka Paulo chini ya mamlaka yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND33 Walipofika Kaisarea walimpa mkuu wa mkoa ile barua na kumweka Paulo chini ya mamlaka yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza33 Walipofika Kaisarea walimpa mkuu wa mkoa ile barua na kumweka Paulo chini ya mamlaka yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu33 Askari walipofika Kaisaria, walimpa mtawala ile barua, na kumkabidhi Paulo kwake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu33 Askari walipofika Kaisaria, walimpa mtawala ile barua, na kumkabidhi Paulo kwake. Tazama sura |