Matendo 23:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC21 Basi wewe usikubali; kwa maana watu zaidi ya arubaini wanamwotea, wamejifunga kwa kiapo wasile wala wasinywe hadi watakapomwua; nao sasa wako tayari, wakisubiri kusikia utasemaje. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Lakini wewe usikubali kwa maana kuna watu zaidi ya arubaini walio tayari kumvamia. Wameapa kutokula wala kunywa kitu mpaka watakapokuwa wamemuua. Sasa wako tayari, wanangojea tu uamuzi wako.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Lakini wewe usikubali kwa maana kuna watu zaidi ya arubaini walio tayari kumvamia. Wameapa kutokula wala kunywa kitu mpaka watakapokuwa wamemuua. Sasa wako tayari, wanangojea tu uamuzi wako.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Lakini wewe usikubali kwa maana kuna watu zaidi ya arubaini walio tayari kumvamia. Wameapa kutokula wala kunywa kitu mpaka watakapokuwa wamemuua. Sasa wako tayari, wanangojea tu uamuzi wako.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Lakini usishawishiwe nao kwa maana zaidi ya watu arobaini wanamvizia. Wameapa kwamba hawatakula wala kunywa hadi wamuue Paulo. Sasa wako tayari, wanangoja idhini yako kwa ombi lao.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Lakini usishawishiwe nao kwa maana zaidi ya watu arobaini wanamvizia. Wamejifunga kwa kiapo kwamba hawatakula wala kunywa mpaka wawe wamemuua Paulo. Sasa wako tayari, wanangoja idhini yako kwa ajili ya ombi lao.” Tazama sura |