Matendo 22:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC23 Walipokuwa wakipiga kelele na kutupa mavazi yao na kurusharusha mavumbi juu, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Waliendelea kupayukapayuka huku wakitikisa makoti yao na kurusha vumbi angani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Waliendelea kupayukapayuka huku wakitikisa makoti yao na kurusha vumbi angani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Waliendelea kupayukapayuka huku wakitikisa makoti yao na kurusha vumbi angani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 Walipokuwa wakipiga kelele na kutoa mavazi yao huku wakirusha mavumbi juu hewani, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 Walipokuwa wakipiga kelele na kutoa mavazi yao huku wakirusha mavumbi juu hewani, Tazama sura |