Matendo 22:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC19 Nami nikasema, Bwana, wanajua hao ya kuwa mimi nilikuwa nikiwafunga gerezani wale wanaokuamini na kuwapiga katika kila sinagogi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Nami nikamjibu, ‘Bwana, wao wanajua wazi kwamba mimi ni yule aliyekuwa anapitapita katika masunagogi na kuwatia nguvuni na kuwapiga wale waliokuwa wanakuamini. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Nami nikamjibu, ‘Bwana, wao wanajua wazi kwamba mimi ni yule aliyekuwa anapitapita katika masunagogi na kuwatia nguvuni na kuwapiga wale waliokuwa wanakuamini. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Nami nikamjibu, ‘Bwana, wao wanajua wazi kwamba mimi ni yule aliyekuwa anapitapita katika masunagogi na kuwatia nguvuni na kuwapiga wale waliokuwa wanakuamini. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 “Nami nikasema, ‘Bwana, wao wenyewe wanajua jinsi nilivyoenda kwenye kila sinagogi ili kuwatupa gerezani na kuwapiga wale waliokuamini. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 “Nami nikasema, ‘Bwana Isa, wao wenyewe wanajua jinsi nilivyokwenda kwenye kila sinagogi ili kuwatupa gerezani na kuwapiga wale waliokuamini. Tazama sura |