Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Matendo 22:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

13 Akanijia, akasimama karibu nami, akaniambia, Ndugu yangu Sauli, pata kuona tena. Nikamwinulia macho yangu saa ile ile.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Yeye alikuja kuniona, akasimama karibu nami, akasema, ‘Ndugu Saulo! Ona tena.’ Papo hapo nikaona tena, nikamwangalia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Yeye alikuja kuniona, akasimama karibu nami, akasema, ‘Ndugu Saulo! Ona tena.’ Papo hapo nikaona tena, nikamwangalia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Yeye alikuja kuniona, akasimama karibu nami, akasema, ‘Ndugu Saulo! Ona tena.’ Papo hapo nikaona tena, nikamwangalia.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Akasimama karibu nami, akasema, ‘Ndugu Sauli, pata kuona tena!’ Nami mara hiyo nikaweza kumwona.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Akasimama karibu nami, akasema, ‘Ndugu Sauli, pata kuona tena!’ Saa ile ile nikapata kuona tena, nami nikaweza kumwona.

Tazama sura Nakili

Matendo 22:13
2 Marejeleo ya Msalaba  

tokea sasa, si kama mtumwa, bali zaidi ya mtumwa, ndugu mpendwa; kwangu mimi sana, na kwako wewe zaidi sana, katika mwili na katika Bwana.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo