Matendo 21:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Mtu huyu alikuwa na binti wanne, mabikira, waliokuwa wakitabiri. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Alikuwa na binti wanne ambao walikuwa na kipaji cha unabii. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Alikuwa na binti wanne ambao walikuwa na kipaji cha unabii. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Alikuwa na binti wanne ambao walikuwa na kipaji cha unabii. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Filipo alikuwa na binti wanne mabikira waliokuwa wanatoa unabii. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Filipo alikuwa na binti wanne mabikira waliokuwa wanatoa unabii. Tazama sura |