Matendo 21:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC18 Hata kesho yake Paulo akaingia kwa Yakobo pamoja nasi, na wazee wote walikuwako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Kesho yake Paulo alikwenda pamoja nasi kumwamkia Yakobo, na wazee wote wa kanisa walikuwapo pia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Kesho yake Paulo alikwenda pamoja nasi kumwamkia Yakobo, na wazee wote wa kanisa walikuwapo pia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Kesho yake Paulo alikwenda pamoja nasi kumwamkia Yakobo, na wazee wote wa kanisa walikuwapo pia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Kesho yake Paulo pamoja na wengine wetu tulienda kumwona Yakobo, na wazee wote walikuwako. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Kesho yake Paulo pamoja na wengine wetu tulikwenda kumwona Yakobo, na wazee wote walikuwepo. Tazama sura |