Matendo 20:37 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC37 Wakalia sana wote, wakamwangukia Paulo shingoni, wakambusubusu, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema37 Wote walikuwa wanalia, na kumwaga kwa kumkumbatia na kumbusu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND37 Wote walikuwa wanalia, na kumwaga kwa kumkumbatia na kumbusu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza37 Wote walikuwa wanalia, na kumwaga kwa kumkumbatia na kumbusu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu37 Wote wakalia, wakamkumbatia Paulo na kumbusu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu37 Wote wakalia, wakamkumbatia Paulo na kumbusu, Tazama sura |