Matendo 20:33 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC33 Sikutamani fedha wala dhahabu, wala mavazi ya mtu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema33 Mimi sikutamani hata mara moja fedha, wala dhahabu, wala nguo za mtu yeyote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND33 Mimi sikutamani hata mara moja fedha, wala dhahabu, wala nguo za mtu yeyote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza33 Mimi sikutamani hata mara moja fedha, wala dhahabu, wala nguo za mtu yeyote. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu33 Sikutamani fedha wala dhahabu wala vazi la mtu yeyote. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu33 Sikutamani fedha wala dhahabu wala vazi la mtu yeyote. Tazama sura |