Matendo 20:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC21 nikiwashuhudia Wayahudi na Wagiriki wamtubie Mungu, na kumwamini Bwana wetu Yesu Kristo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Niliwaonya wote – Wayahudi, kadhalika na watu wa mataifa, wamgeukie Mungu na kumwamini Bwana wetu Yesu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Niliwaonya wote – Wayahudi, kadhalika na watu wa mataifa, wamgeukie Mungu na kumwamini Bwana wetu Yesu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Niliwaonya wote — Wayahudi, kadhalika na watu wa mataifa, wamgeukie Mungu na kumwamini Bwana wetu Yesu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Nimewashuhudia Wayahudi na Wayunani kwamba inawapasa kumgeukia Mungu kwa kutubu dhambi na kumwamini Bwana wetu Isa Al-Masihi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Nimewashuhudia Wayahudi na Wayunani kwamba inawapasa kumgeukia Mwenyezi Mungu kwa kutubu dhambi na kumwamini Bwana wetu Isa Al-Masihi. Tazama sura |