Matendo 2:27 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC27 Kwa maana hutaiacha roho yangu katika kuzimu; Wala hutamtoa Mtakatifu wako aone uharibifu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema27 maana hutaiacha roho yangu kuzimu, wala kumruhusu mtakatifu wako aoze. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND27 maana hutaiacha roho yangu kuzimu, wala kumruhusu mtakatifu wako aoze. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza27 maana hutaiacha roho yangu kuzimu, wala kumruhusu mtakatifu wako aoze. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu27 Kwa maana hutaniacha kaburini, wala hutamwacha Aliye Mtakatifu wako kuona uharibifu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu27 Kwa maana hutaniacha kaburini, wala hutamwacha Aliye Mtakatifu wako kuona uharibifu. Tazama sura |