Matendo 19:36 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC36 Basi kwa kuwa mambo haya hayawezi kukanushwa, imewapasa kutulia; msifanye neno la haraka haraka. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema36 Hakuna anayeweza kukana mambo hayo. Hivyo basi, tulieni; msifanye chochote bila hadhari. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND36 Hakuna anayeweza kukana mambo hayo. Hivyo basi, tulieni; msifanye chochote bila hadhari. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza36 Hakuna anayeweza kukana mambo hayo. Hivyo basi, tulieni; msifanye chochote bila hadhari. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu36 Kwa hiyo, kwa kuwa mambo haya hayawezi kukanushwa, inawapasa mnyamaze na wala msifanye lolote kwa haraka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu36 Kwa hiyo, kwa kuwa mambo haya hayakanushiki, inawapasa mnyamaze na wala msifanye lolote kwa haraka. Tazama sura |