Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Matendo 19:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

23 Wakati huo kukatokea ghasia si haba kuhusu Njia ile.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

23 Wakati huo ndipo kulipotokea ghasia kubwa huko Efeso kwa sababu ya hiyo njia ya Bwana.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

23 Wakati huo ndipo kulipotokea ghasia kubwa huko Efeso kwa sababu ya hiyo njia ya Bwana.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

23 Wakati huo ndipo kulipotokea ghasia kubwa huko Efeso kwa sababu ya hiyo njia ya Bwana.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

23 Wakati huo huo pakatokea dhiki kubwa kwa sababu ya Njia Ile.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

23 Wakati huo huo pakatokea dhiki kubwa kwa sababu ya Njia ile ya Bwana Isa.

Tazama sura Nakili




Matendo 19:23
10 Marejeleo ya Msalaba  

Akaanza kunena kwa ujasiri katika sinagogi; hata Priskila na Akila walipomsikia wakampeleka kwao, wakamweleza njia ya Bwana kwa usahihi zaidi.


Lakini wengine walikaidi, wakakataa kuamini, wakiitukana ile Njia mbele ya mkutano; basi, akaondoka akawaacha, akawatenga wanafunzi, akahojiana na watu kila siku katika darasa la mtu mmoja, jina lake Tirano.


nikawaudhi watu wa Njia hii hata kuwaua, nikawafunga, nikiwatia gerezani, wanaume na wanawake.


Ila neno hili naungama kwako ya kwamba kwa Njia ile ambayo waiita uzushi, ndivyo ninavyomwabudu Mungu wa baba zetu, nikiyaamini yote yanayopatana na torati na yaliyoandikwa katika vyuo vya manabii.


Basi Feliki aliwaahirisha, kwa sababu alijua habari za Njia ile kwa usahihi zaidi, akasema, Lisia jemadari atakapoteremka nitaamua kesi yenu.


akataka ampe barua za kuenda Dameski zilizoandikwa kwa masinagogi, ili akiona watu wa Njia hii, wanaume kwa wanawake, awafunge na kuwaleta Yerusalemu.


katika kusafiri mara nyingi; hatari za mito; hatari za wanyang'anyi; hatari kwa taifa langu; hatari kwa mataifa mengine; hatari za mjini; hatari za jangwani; hatari za baharini; hatari kwa ndugu za uongo;


katika mapigo, katika vifungo, katika fitina, katika taabu, katika kukesha, katika kufunga;


kama wasiojulikana, bali wajulikanao sana; kama wanaokufa, kumbe tu hai; kama wanaorudiwa, bali wasiouawa;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo