Matendo 19:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC18 Na wengi wa wale walioamini wakaja wakaungama, wakidhihirisha matendo yao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Waumini wengi walijitokeza wakakiri hadharani mambo waliyokuwa wametenda. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Waumini wengi walijitokeza wakakiri hadharani mambo waliyokuwa wametenda. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Waumini wengi walijitokeza wakakiri hadharani mambo waliyokuwa wametenda. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Wengi wa wale waliokuwa wameamini wakati huu wakaja na kutubu waziwazi kuhusu matendo yao maovu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Wengi wa wale waliokuwa wameamini wakati huu wakaja na kutubu waziwazi kuhusu matendo yao maovu. Tazama sura |